MAMBO 4 AMBAYO MUNGU ANATAKA UYAJUE KATIKA MWAKA 2013
1.WEWE NI MWENYE DHAMBI:''Kwa sababu wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU'' Warumi 3:23. 2.DHAMBI ZAKO ZIMEKUTENGA NA MUNGU; ''Lakini maovu yenu yamewafarakanisha ninyi na MUNGU wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone'' Isaya 59:2. 3.MUNGU AMEKULETEA NJIA YA WOKOVU;''Kwa maana KRISTO naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili ya wasio haki, ili atulete kwa MUNGU'' 1Petro 3:18. 4.WOKOVU WA MUNGU NI BURE KWA AJILI YAKO; ''Kwa maana jinsi hii MUNGU aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele'' Yohana 3:16. MUNGU AKUBARIKI SANA NA NAKUTAKIA MWAKA WENYE MAFANIKIO KROHO NA KIMWILI PIA.
You might also like:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni