KAHABA ALIYEOKOKA
Hili ni simulizi la kweli linalomhusu mwanamke mmoja ambaye alikuwa ni kahaba wa makahaba......
Mwanamke
huyu alijitambua vyema na kukiri ndani ya nafsi yake kuwa hawezi
kuolewa na mwanamme yoyote yule maana jamii yote ilikuwa inamtambua
kwa uchangudoa wake......
Kwa
hiyo , ili kurahisisha mambo na kuifanya biashara yake iimarike,
mwanadada huyu aliamua kwenda hospitali kukitoa kizazi
chake.Hakutaka tena usumbufu wa kutoa mimba au kufikiria
kutumia kondomu......
Tangu wakati ule biashara yake iliimarika na wateja walizidi kumiminika.Baada ya miaka
kadhaa, Upako wa Mungu ulimfikia kupitia kwa mtumishi
mmoja wa Mungu ambaye alifanikiwa kumfanya aokoke na kuwa
mtumishi mzuri kanisani.....
Siku moja, mchungaji mmoja alimwita na kumwambia kuwa:
"Dada yangu, Mwenyezi Mungu amenena na mimi na kunifunulia kuwa wewe ndo mke wangu wa ndoa, hivyo naomba tuoane.."
Mwanamke huyu alitabasamu na kusema:
"Kaka
yangu, Mungu hajakwambia lolote, lasivyo, utakuwa hujamsikia
vizuri.Naomba uniache tu maana sina mpango wowote wa kuolewa"
Yule mchungaji aliendelea kushikilia msimamo wake na kudai kuwa :
"Mungu amenifunulia,wewe ndo mke wangu"
Yule mchungaji aliendelea kushikilia msimamo wake na kudai kuwa :
"Mungu amenifunulia,wewe ndo mke wangu"
Mwanamke huyu aliendelea kuyapuuza maneno hayo na ndipo sakata hilo lilipomfikia Askofu wa kanisa hilo.....
Wakiwa mbele ya mchungaji,Mwanamke huyu alifunguka kwa uwazi mbele ya askofu na kudai kuwa kabla ya kuokoka yeye alikuwa ni kahaba wa makahaba....
Askofu naye alifunguka na kudai kuwa :"Sioni sababu ya kuumiza kichwa kwa mambo yaliyopita.Mungu humsamehe mwanadamu kwa kuzifuta dhambi zake zote za nyuma na kumfanya awe mpya..!!!"
Mwanamke huyu alifunguka tena na kudai kuwa:
"Baba askofu, mimi nilishatoa kizazi changu wakati nikiwa kahaba, kwa hiyo sitaweza kuzaa tena"
Askofu aliishiwa pumzi baada ya kusikia hivyo.Hakuweza tena kusema kuhusu kusahau ya nyuma.Ilibidi amgeukie yule mchungaji na kumwamba:
"Vipi, bado kuna maono yoyote toka kwa mwenyezi Mungu?"
Mchungaji alijibu ,"Ndio, huyu ndo mke wangu.."
Askofu ilibidi awaombee kwa sala maalumu.Hatimaye ndoa ikafungwa......Baada ya miezi michache tu, huyu mwanamke alibeba mimba.Yeye pamoja na mumewe waliongozana pamoja kwenda hospitalini, tena kwa yule yule doctor aliyekitoa kile kizazi......
Daktari alipomuona alifurahi akidhani kuwa pengine mteja wake kamletea mteja mwingine.....Doctor hakuamini masikio yake baada ya kuambiwa kuwa huyu mwanamke ni mjamzito na amekuja kujiandikisha clinic....
Hakika Mungu ni Muweza
wa
yote
BARIKIWA SANA NA HII IMETOKA MLIMA SAYUNI BLOG
Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma>
JibuFutaKwaheri Gerd Ulrich